Rev. Stumble and Njoroge

Rev STUMBLE : Everything comes from above!
> >Njoroge : Vitu vyote huja juu juu,

STUMBLE: So you see my brothers and sisters,
> >Njoroge :…….Basi ndugu zangu waangalieni akina dada,

STUMBLE: know perfectly well,
> >Njoroge :……Na muwajue vizuri sana

STUMBLE : That all world affairs,
> >Njoroge:………Kwamba mipango ya kando yote duniani,

STUMBLE: are successful only if held from above,
>> Njoroge :………….Hufanikiwa tu ikiwa mmeshikana juu juu.

STUMBLE: Remember, faith is your pillar,
> >Njoroge:…Kumbuka kuuamini mlingoti wako,

STUMBLE: Keep it first and above,
> >Njoroge :…………..uuweke kwanza juu juu.

STUMBLE: Let it run very deep and strong,
>>Njoroge :……………Ndo kisha uukimbize ndani kabisa tena kwa nguvu,

STUMBLE :Should anybody want to test you,
>>Njoroge:…………..Mtu yeyote akitaka kukuonja,

STUMBLE :……will feel its work,
>>Njoroge :……………Ataisikia kazi yake

STUMBLE: >Then from deep inside you’ll feel peace pouring out,
> > Njoroge :……..ndo kisha baadaye utasikia kutoka ndani sehemu moja ikimwagika nje,

STUMBLE: That peace will flow and enter even those you are with,
> > Njoroge :…….Sehemu hiyo ita tiririka na kumwingia uliye naye,

STUMBLE: and that peace will remain.
> > Njoroge :…………..Na sehemu hiyo itabakia.

STUMBLE: Amen.
> > Njoroge :………… Huyo ni mwanamume

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *